Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUZUIA AUTOMATIC UPDATE KWENYE WINDOW 10



Habari…

Tumaini letu wote mnaendelea vizuri na leo tunafundisha ni jinsi gani unaweza kuzuia Automatic Update kwenye Windows kwa kutumia Software yetu ya script tuliyoiandaa,
Nijambo zuri kwenye computer yako kupata updates mpya za window ni kitu cha usalama zaidi lakini kwa upande mwingine imekuwa kikwazo kwa baadhi ya watumiaji wa Mfumo huo wa uendeshaji hasa katika utumiaji wa Data, utumia kiasi kikubwacha MB  pasipo kujua n.k
Hivyo Software Support Tanzania na Team yake imewatengenezea Script Software ambayo inauwezo wa kuzia Automatic window update na kuirudisha pale tu utakapohitaji.

MAHITAJI
  •    Computer
  •    Software yetu ya Scripts tuliyokuandalia (Script hii ni ya bure)
MUHIMU
  • Kuzuia Window kutokufanya update yenyewe kwa kila wakati itakusaidia kupunguza kiasi  cha matumizi ya MB kwenye Computuer yako
  • Kuzuia Window kutokufanya  update yenyewe itakuzuia kupata sasisho mpya zilizotoka za window yako kwa wakati
Zifuatazo ni hatua za kufata ila kufanikisha zoezi hili.

HATUA
  1. Ipakue Software yetu itakayokuwezesha kuzuiya Automatic update kupitia link hii 
  2. Run Auto-Update-Enable_Disable na kisha itaomba ruhusa ya Administration ya Computer    yako, utakubali kwa kubonyeza YES.
  3. Utatokea ujumbe huu Run this script? <Y/N>;
  4. Bonyeze  herufi  Y kwenye keyboard yako kisha bonyeza Enter
  5. Bonyeza key yoyote kwenye keyboard yako kuondoka.
  Pakua Script ( setup ) hapo chini ya kukuwezesha kuzuia automatic update kwenye window 10
                                                  DOWNLOAD HERE
Mpaka hapo utakuwa utakuwa umefanikisha kuzima sasisho za kujiinstall zenyewe kwenye mfumo wako wa uendeshaji.

MUHIMU
Software hii  ni ya bure imetengenezwa na Software Support Tanzania kwa kutumia programing batch file script kwa lengo la kusaidia watu.
Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
        Asante...
NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...