You haven’t bookmarked any article yet.
JINSI YA KUPANGILIA CONFIGURATION KWENYE SIMU ZA ANDROIDS
HOME WaiTech |Admin+

JINSI YA KUPANGILIA CONFIGURATION KWENYE SIMU ZA ANDROIDS




Habari...

Software Support Tanzania inapenda kutoa masomo mbalimbali yanayohusiana na teknolojia za simu na computer na leo tunapenda kujulisha wafuatiliaji wetu kuhusu jinsi ya kuweka APN SETTING kwenye simu yoyote ya Android na kuwezesha kupata Internet kwenye simu.

Hivyo basi ili kufanikisaha zoezi hili fuata hatua zifuatazo

HATUA
  1. Bonyeza Menu ya simu yako
  2. Nenda kwenye “Settings”
  3. Kisha nenda kwenye neno “Wireless Networks” au ''More ''
  4. Kisha “Mobile Networks”
  5. Kisha “Access Point Names”
  6. Kisha bonyeza ; New APN
Chagua mtandao unaotaka kufanya setting ya Internet kisha fuata hatua hapo chini kulingana na mtandao unaotumia

VODACOM APN SETTING
     Name: Vodacom
     APN:    Internet 

AIRTEL APN SETTING
    APN: internet
    NAME: Airtel
    IP-Address: 10.10.09.30
    Port:8080 

TIGO APN SETTING
    Name: Tigo
    APN: tigoweb

ZANTEL APN SETTING
    Name: Zantel
   APN: znet

HALOTEL APN SETTING
   Name : Halotel
   APN : b internet


 Mpaka hapo utakua umefanikisha kupata Internet kwenye simu yako
        Asante na endelea kufuatilia BLOG yetu kwa kujifunza mengi zaidi 
 
Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Software_support_tanzania
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu

🚀

Continue Reading

Continue learning more about HOME from WaiTech |

Software Support Tanzania
About the Author

Anania Julius

Technology Writer & Website

Anania Julius creates technology guides, software tutorials, Android solutions, and digital tips to help users understand modern technology.

Found This Helpful? Share It With Others!
🔥 Shared by Readers
Previous Next

نموذج الاتصال

WaiTech Support Usually replies instantly
Hi there! 👋 Welcome to WaiTech. Type your message below and we'll get it straight to WhatsApp.
You are Online