Habari..
Tumaini letu kila mmoja anaendelea vizuri,,na leo tumekuja nasomo jipya kabisa , tutafundisha ni namna gani unaweza kuweka lock ya pattern kwenye computer yako.
#MAHITAJI.
I.
Computer yenyewe unayotaka kuweka password.
II.
Software
itakayo kuwezesha kuweka password kwenye computer yako.
SIFA ZA SOFTWARE HII.
I.
Inaonesha
date and time pale display inavyokuwa locked.
II.
Unapokuwa
hauitumii computer yako mwanga wa display unaondoka wenyewe kama kwenye simu.
III.
unapokuwa
au-download kitu kwenye PC yako pia auitumii inajidisconnect internet yenyewe.
IV.
inakubali
kwenye monitor karibu zote za computer.
V.
unaweza
kuweka background image kama kwenye simu.
VI.
Upiga alam
pale mtu anapokose kuchora pattern yako kwenye computer yako.
#HATUA.
1. Download Software hii …hapo chini kupitia link hii
http://www.mediafire.com/fi…/8l4cx091bf1ot8z/I.C.T+Setup.exe
http://www.mediafire.com/fi…/8l4cx091bf1ot8z/I.C.T+Setup.exe
2.
install hiyo
software na baada ya kuifungua Click finish.
3.
Software
itafunguka na utaonaona OPTION tatu kama ifatavyo.
#MUHIMU
I.
RESET PATTERN-sehemu itakusaidia kuweka pattern yako kwenye PC
yako
II.
GENERAL-sehemu hii itakusaidia kufanya settings za hii software
kama ku-lock key board n.k
III.
BACKGROUND-hapa utaweza kuweka picha yako kama Lock screen
wallpaper
IV.
Software hiyo haijawa full activated or Registed by code hivyo
hitafanya kazi kwasiku chache na kudai kuilipia hili kupata Activation code
zake.
Activation code ambazo zitakufanya utumie bila kikomo utaitajika ulipie mtandaoni au kupitia sisi.
Activation code ambazo zitakufanya utumie bila kikomo utaitajika ulipie mtandaoni au kupitia sisi.
V.
Kuwa makini unapoweka pattern zako au kuchoro zirudie kwa uhakika
na hakikisha uwezi zisahau.Endapo itatokea ukazisahau hakuna sehemu ya kuset
pattern hivyo itakugharimu katika zoezi ilo
4. Itakuomba
uinginze REGISTRATION CODE hapo uta-click kwenye neno skip.
Rudi kwenye
desktop yako tafuta ICON limeandikwa hivi EML.setup Click kama unaifungua,
baada ya kufunguka nenda kwenye sehemu iliyoandikwa RESET PATTERN na uzirudie
kwa kuhakikisha kisha bonyeza hapo na uweke pattern zako kisha bonyeza OK.
**Computer itaji-lock kwa pattern automatically hivyo utachora pattern zako kwakutumia mouse na baada ya hapo itafunguka na ukikosea mara tatu itapiga alamu.
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuweka lock ya pattern kwenye computer yako.
**Computer itaji-lock kwa pattern automatically hivyo utachora pattern zako kwakutumia mouse na baada ya hapo itafunguka na ukikosea mara tatu itapiga alamu.
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuweka lock ya pattern kwenye computer yako.
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano
Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram:
Software_support_tanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
CALLS: 0657672808
0715575017
Don’t forget to
subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare
darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..
