You haven’t bookmarked any article yet.
 JINSI YA KUONDOA VIRUS AINA YA SHORTCUT KWENYE USB FLASH AU MEMORY CARD
Computer WaiTech |Admin+

JINSI YA KUONDOA VIRUS AINA YA SHORTCUT KWENYE USB FLASH AU MEMORY CARD






Habari...
Tumaini langu wote mnaendelea vizuri, Leo tutafundisha ni namna gani unaweza kuondoa virus aina ya shortcut kwenye kifaaa chako cha kuifadhia kumbukumbu kama memory card na USB FLASH.
Hii hutokea pale unaposave vitu kwenye USB flash na unapokuja kuvitazama upya unakutana na shortcuts tu.

 Leo tutafundisha njia 2 na vipindi vijavyo tutafundisha njia 3 zingine nyingine.
Hili kufanikisha zoezi ili fata hatua zifuazo kwa umakini.

                                                           
  NJIA YA KWANZA
HATUA
*  
1.       Bonyeza button ya WINDOW bila kuiachia na button yenye herufi R kwa pamoja(WINDOW+R).
2.      Andika neno CMD kisha bonyeza ENTER.
3.      Andika LOCAL DISK ya herufi ya jina la flash yako au memory card mfano M: kisha bonyeza ENTER
4.       Andika dir then ENTER
5.       Andika attrib -h -r -s /s /d M:\*.* then ENTER
(M: hii jina la flash yako)
Hapo utakua umemaliza njia ya kwanza
*       
                                                         NJIA YA PILI
HATUA
1.       Bonyeza button ya WINDOW+R kwa pamoja.
2.      Andika neno NOTEPAD kwenye kibox kitakacho kuja na ubonyez ENTER.
3.      Baada ya kufungua notepad COPY na U-PASTE hizi code. Au ziandike kama zilivyo.
@echo off
attrib -h -s -r -a /s /d M:*.*
(hii herufi M: ni jina la drive au flash yako kutokana na local disk iliyosoma).
Nenda juu upande wa kushoto kwenye file save as harafu usave kama SST REMOVER.bat na kwenye file type chagua all files.
Hapo itabadilika na kuwa simple software, ichukue ukaipaste kwenye hiyo flash. Itoe flash na Restart computer yako.

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuondoa shortcut virus kwenye usb flash yako.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Software_support_tanzania
Calls: 0657672808
           0715575017
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..

🚀

Continue Reading

Continue learning more about Computer from WaiTech |

Software Support Tanzania
About the Author

Anania Julius

Technology Writer & Website

Anania Julius creates technology guides, software tutorials, Android solutions, and digital tips to help users understand modern technology.

Found This Helpful? Share It With Others!
🔥 Shared by Readers
Previous Next

نموذج الاتصال

WaiTech Support Usually replies instantly
Hi there! 👋 Welcome to WaiTech. Type your message below and we'll get it straight to WhatsApp.
You are Online