Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUTENGENEZA PARTITION KWENYE KOMPYUTA







Habari...

Software Support Tanzania Inapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza Kuigawa Harddisk Yako Kwenye Sehemu Tofauti. Ni muhimu kuunda zaidi ya sehemu moja kwenye Windows  ili uweke mfumo wa uendeshaji na kuhifadhi aina tofauti za data. Kawaida, unapaswa kugawanya Harddisk  katika sehemu kadhaa wakati wa kuingiza Window Kwenye  kompyuta yako.

Ili Kufanikisha Zoezi hili Fuata Hatua Zifutazo Hapo Chini.

HATUA


  1. Bonyeza Window Button Au Start Kisha right-click kwenye Computer Nenda Kwenye  Manage.

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 



  1. Ndani Ya  Computer Management Window Bonyeza Kwenye  Storage Kisha  Disk Management.

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 


  1. Hii itakuonesha Drivers Au Partition Zote Zilizokuwepo Kwenye Kompyuta Yako

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini .



  1. Kutoka Kwenye Partition Zinazo onekana Bonyeza Partion unayohitaji Kuigawa Mara Mbili Kisha Right-Click Nenda Kwenye   Shrink Volume.

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 

  1. Mfumo Utaendelea Kugawa Nafasi Kwenye Partition Husika

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini 



  1. Baada ya kumaliza, muonekano mpya utakuja kabla ya kupungua utaonyeshwa nafasi ya kupunguzwa inayopatikana. Katika mstari unaofuata unaweza kuingia kiasi cha nafasi unayotaka kupungua na hii itakuwa ukubwa wa nafasi mpya.

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini  



Kumbuka
Ukubwa  Utakaouweka Unapaswa  kuwa ndani ya kikomo cha nafasi inayopatikana Kama inavyoonyeshwa katika mfano hapo juu.

  1. Baada Ya Kuandika Ukubwa Unauhitaji Bonyeza Kwenye Shrink  Kisha Subiria  Ukamilishwaji Kuwezeshwa. Muda Utakaochukua Unategemea na Ukubwa Wa Volume Unayo shrink, Mara Tendo hilo litakapokamilika Window itaiyonesha Partition hiyo kama  unallocated space.

    Hivyo, Right-click Kwenye unallocated space  Kisha  Bonyeza Kwenye New Simple Volume.

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini   


  1. Baada Ya hapo itaonekana New Simple Volume Wizard Kisha Bonyeza Next

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini  











Bonyeza Tena Next

Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini






  1. Partition Mpya imetengenezwa, Chagua Jina la Partition hiyo Kwa  Herufi Kisha Bonyeza Next.
     
    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini



  1. Format Partition Hiyo Kwa Kutumia Format Ya  NTFS. Unaweza Ukaandika Jina la Drive Kama Utahitaji Kisha Bonyeza Next.

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini



  1. Baada ya Kumaliza Hatua Zote Hizo Bonyeza Kwenye Neno Finish.

    Kama inavyoonekana Kwenye Hapa Chini





Mpaka hapo utakuwa umefanikisha Kuficha mtu yoyote asikuone ni muda gani mara ya wisho kuwa whatsApp Online

Kwa Msaada/Ushauri Wowote Wasiliana na Software Support Tanzania.

ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu
Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

Jiunge na WhatsApp  group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.



Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...