Habari...
Software Support Tanzania Inapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza Kuweka Passowrd iliyokuwa Imara Kwaajiri Ya Ulinzi wa Taarifa/Data Zako.Kubadili Password katika kompyuta Yako Mara kwa Mara Kunaweza Kuzuia Wengine Kuhesabu Au kujua Mfumo Wa Password Yako. Mbali na hilo, ikiwa Unadhani Njia Hio ni Ndefu ni ndefu sana na ngumu, unaweza kutumia njia hii ambayo ni fupi na rahisi. Na kwa urahisi, makala hii inaonyesha jinsi ya kuweka Ulinzi Imara Wa kompyuta ya Yako.
Hivyo ili kufanikisha Zoezi hili Fuata Hatua Zifuatazo.
1: Bonyeza Windows Button + R, Kisha Enter.
Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini
2. Andika syskey Kwenye Kibox kilichotokea Kisha Bonyeza OK.
Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini

3: Dirisha La Akaunti Ya Udhibiti Litakuja, Bonyeza Yes kuruhusu SAM Lock Tool Kufanya Lock Kwenye Kompyuta Yako.
Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini

4: Dirisha Linalotumika Kuhifadhi Database ya Akaunti ya Windows Litafunguka , Bonyeza Update.
Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini

5: Weka Password Mpya au nyingine na uirudie chini yake, Kisha Bonyeza OK.
Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini

6: Weka Password yako ya awali kisha bonyeza OK ilikuruhusu mabadiliko hayo.
Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini

7. Baada ya hatua hizi sita, dirisha la Mafanikio litaonyeshwa, kukujulisha kuwa mabadiliko ya Password uliyoyafanya yamefenikiwa.
Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini

ANGALIZO; Kutumia Njia hii Kuweka Ulinzi Wa Data/Taarifa Zako Kwenye Kompyuta Kwa Njia Password ni Imara na Salama Zaidi, Sisi Hatuto Husika/Kuwajibika Kwa Usahaurifu Wa Passord Zako.
apo utakuwa umefanikisha Kuficha mtu yoyote asikuone ni muda gani mara ya wisho kuwa whatsApp Online
Kwa Msaada/Ushauri Wowote Wasiliana na Software Support Tanzania.
ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu
Download App Yetu Playstore hapa Chini
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.


