Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUFICHA LAST SEEN KWENYE WHATSAPP




Habari...

Software Support Tanzania Inapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza Kuficha "LAST SEEN" Muda Wa Mwisho Uliokuwepo Au Kutoka Online Kwenye WhatsApp Yako.

Kama Inavyojulikana ni Vigumu kubadilisha Mipangilio Ya WhatsApp Kwenye Baadhi Ya Simu Kama  Windows Phone's Mfano  Nokia Asha, Ingawa inawezekana Vipengele Hivi Kuja Kuongezwa  Katika Mitapangilio Ya Baadae.

Ili Kufanikisha Zoezi hili Fuata Hatua Zifutazo Hapo Chini.

HATUA

1. Fungua WhatsApp Kwenye Simu



 2. Kisha Bonyeza vidot vitatu Upande wa Kulia Juu Kisha  Settings.




3. Bonyeza Kwenye  Account



4. Kutoka Kwenye Account Bonyeza Kwenye => Privacy.




5. Kutoka Kwenye Privacy Bonyeza Kwenye =>Last Seen



6.  Kutoka Kwenye Last Seen Utapata Muonekano Kama Huu Wenye Option Tatu.

Weka Chaguo Lako Kuilingana na Mahitaji

Everyone=>Kila mtu ataona Last Seen Yako 
My Contacts=>Watu Ambao Namba Zao unazo
Nobody.=> Hakuna mtu Yoyote Atakaeona Last  Seen Yako



7. Baada Ya Hapo Hiyo Menu itaondoka Automatically

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha Kuficha mtu yoyote asikuone ni muda gani mara ya wisho kuwa whatsApp Online.

Kwa Msaada/Ushauri Wowote Wasiliana na Software Support Tanzania.

ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu Download
Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

Jiunge na WhatsApp  group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.



Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...