
Software Support Tanzania tunapenda kutoa masomo mbalimbali yanayohusiana na teknolojia za simu na computer na leo tunapenda kujulisha wafuatiliaji wetu kuhusu jinsi unaweza kuflash Simu Zenye Processor Ya Za Mtk.
Kama Tecno,Alcate One Touch, Micromax,ZT,Huawei Y320-Y511,Y540,Y600.Infinix,Vodafone. n.k
MUHIMU
- Kuwa makini kwenye kila hatua.
- Kutumia firmware ya simu husiku kabla ya kuflash.
- Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
- Kompyuta
- Orginal USB cable
- MTK USB Driver. Download Hapa
- Flash Tool: Smart Phone Flash Tool. Download Hapa
- Firmware (scatter file) la simu husiku. Download Hapa
HATUA

2: Install MTK USB Driver Kwenye Kompyuta Yako Au (Ruka Hatua hii Kama Ulisha install).
Chagua Firmware Upgrade or Download option Ndani Ya Flash Tool Kisha Bonyeza Kwenye Download button. Kisha Zima Simu Yako na Uchomeke Kwenye Kompyuta Kwa Kutumia USB Cable.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

3. Utaratibu wa Ku-flashing Utaanza Sasa Na Kusubiri Mpaka Ku-Flash Kumalize. Inaweza Kuchukua Dakika 5-10 Kwa Kakati Huo Usiondoe Kifaa Chako Kutoka Kwenye Kompyuta. Baada Ya kufanyika Utaona Wa Ujumbe Huu Download OK message.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

Mpaka hapo Utakuwa Umefanikiwa Ku-Flash Simu na nakwendelea Kuitumia Upya Kama hapo Awali.
FAHAMU:
- KuFlash Simu itakusaidia kurudisha Operating Sysytem iliyokufa Kwenye Simu Yako.
- Kwenye Ku-Flash Simu Database Yote Ya Vitu Vyako Vitaondolewa Kama ( Vitabu, Application, Muziki, Video, Picha)
ili Kuwa WaKwanza Kupata Masomo Yetu
Download App Yetu hapa Chini
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.
