Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-UNLOCK TECNO Y3 BILA KUTUMIA KOMPYUTA




Habari...

Software Support Tanzania Inapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza Kuondoa Network Locking Kwenye baadhi Ya Simu Za Zenye Proccessor za Media Tek Kama Tecno Y3 n.k

Wote Tunafahamu Simu za tecno Y3 na Y3+ haswa Za Promotion ya Tigo huwa upande wa sim 1 ni lazima utumie line ya Tigo na ndio upande unao support 3G, Na upande wa sim 2 unaweza ukatumia line yoyote ile ila sim 2 huwa inasupport 2G pekee.

MUHIMU
:
  • Njia Hii pia inatumika Ku-Unlock baadhi ya Simu Zingine Zenye Processor Ya Media tek
  • Njia Hii Haiitaji Kuwa na Kompyuta.
MAHITAJI
  • Simu Ya Tecno Yenye Lock Ya Mtandao (Inayotumia Line Moja)
  • Bando La Internet Lenye 10MB
ili Kufanikisha Zoezi ili Fuata Hatua Zifuatazo

1. Nenda Playstore kisha Download Mtk Engineering mode. Download Hapa 

2. Install Mtk Engineering Mode Kisha ifungue

3. Nenda Kwenye MTK Settings

4. Nenda Kwenye Neno TELEPHONY

5. Nenda Kwenye SIMME LOCK au SIM LOCK .
6. Nenda Kwenye NETWORK PERSONALIZATION

7. Nenda Kwenye UNLOCK/NETWORK UNLOCK
 

8. Weka 12345678 kama unlock codes .

9. ,Baada Ya Hapo Rudi Nyuma Kisha Nenda Kwenye PERMANENTLY UNLOCK Bonyeza OK au Yes Kukubali kui Unlock Yako Moja Kwa Moja.

10. Bonyeza kwenye FINISH 

11. Zima Simu Yako Kisha Weka line Ya Mtandao Mwingine Iliyokuwa haisomi Hapo Awali.


Mpaka hapo Utakuwa Umefanikisha Kuondoa Network Lock Kwenye Simu Ya TECNO Y3 au Y3+ Pasipokuwa na Kompyuta wala Ujuzi Wowote.


Kwa Msaada/Ushauri Wowote Kuhusu Vifaa Vya Kielektroniki Wasiliana na Software Support Tanzania.

ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu

Download App Yetu Playstore hapa Chini 

DOWNLOAD HAPA
Jiunge na WhatsApp group letu hapa

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi aanasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.



Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...