Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-FACTOR RESET AU KUI-RESTORE KOMPYUTA





Habari...

Software Support Tanzania Inapenda kuwajuza ni Jinsi Gani Unaweza  kufanya restoring Ya Komputer yako ,uwenda ulikuwa unajiuliza maswali mengi juu kutaka kufanya factory reset kwenye Kompyuta.Uwenda ulikuwa unatafuta volume button’s ufanye hivyo ikashindika. Hivyo Kuwa na Software Support Tanzania  Mpaka mwisho tukupatie njia rahisi.
Njia hii Imefanya Kazi Kwa watu Karibu Wote Wanaofuatiliza Masomo Yetu.


MAHITAJI

=>Kompyuta Husika

FAIDA ZA KU FACTORY RESET KOMPYUTA
  1.  Itafanya Kompyuta Yako Kuwa Nyepesi na Kufanya Kazi kwa Ufanisi
  2. Itatatua Baadhi Ya Matatizo Kama Kompyuta Ku-stuck/Crushe's Kwenye Kompuyuta. 
  3.  Itaondoa Setting Ulizokuwa Unashindwa Kuziondoa
  4.  Itapelekea Drvers Zingine Zifanye Kazi Kwenye Kompyuta Yako Kama USB VCOM driver.

HASALA ZAKE.
  1.  Inaweza kufuta data zako kama hutokuwa makini.
  2.  Inachukua muda mrefu kusubiri karibia dakika 20.

ili Kufanikisha Zoezi ili Fuata Hatua Zifuatazo

 01. Bonyeza window button + R kwa pamoja.

    Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini



02. Kitakuja Ki-box Cha Run

      Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini 


03. Andika ili neno kwenye hicho ki-boz rstrui.exe kisha bonyeza OK

      Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini 


04. Ita-load kama sekunde 40 kisha bonyeza Kwenye NEXT Kwa Kuendelea
   
      Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini 



05. Chagua Restore Point Unayotaka kuitumia  Kisha  Next. Kumbuka kwamba unaweza kuruka hatua ya skanning na bonyeza tu Next, lakini daima ni vyema kuona programu ambazo zitaathirika kabla ya kuanza mchakato.

    Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini 
wsr_9

06. Mfumo Utakuuliza Kuhakikisha na Unachokifanya Kwa Kumalizia Kubonyeza Sehemu Ya Finish

    Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini 
wsr_12 

07. Mfumo wa Ku-restore  utakujulisha  kuwa mara tu inapoanza, mchakato huu hauwezi kuingiliwa na Mambo mengine . Bonyeza "Yes" kuuruhusu mwenendo huu.

  Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini
wsr_13 

08. Kompyuta Yako itaji-Restart na Kwendelea na Mfumo huu. 

       Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini








ANGALIZO; Kutumia Njia hii Knaweza Kupoteza  Data/Taarifa Zako  Za Muhimu Kwenye Kompyuta Hivyo ni Muhimu Kufanya Backup Ya Local Disk C:/ Kabla Ya Kuendelea, Sisi Hatuto Husika/Kuwajibika  Kwa Upotezaji Huo.



Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kutatua baadhi ya Matatizo Ya Software Kwenye Kompyuta  Yako na Kurudisha Ufanisi wa Kazi Wa Kompyuta Kama ilivyo Awali.


Kwa Msaada/Ushauri Wowote Wasiliana na Software Support Tanzania.

ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu
Download App Yetu Playstore hapa Chini 
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

Jiunge na WhatsApp  group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...