You haven’t bookmarked any article yet.
ZIJUE NJIA 8 BORA ZA ZA KUZIMA KOMPYUTA
WaiTech |Admin+

ZIJUE NJIA 8 BORA ZA ZA KUZIMA KOMPYUTA






Habari...

Software Support Tanzania Inapenda kuwajuza njia 8 Bora na Salama Zaidi Kwaajiri ya Kuipumzisha Kompyuta Yako.


Zifuatazo Hapo Chini Ni Njia 8 na Salama Za Kuzima Kompyuta Yako.

1. Zima computer kwa kutumia start menu
Hii ninjia rahisi sana nadhani kila mtumiaji wa computer atakua anaifahamu vizuri. Cha kufanya ni kubofya start key kisha bonyeza shutdown
.
2. Kutumia Alt + F4 button.
Bonyeza Alt + F4 kisha select shutdown. Sasa unachotakiwa ni kubonyeza OK ili kuzima computer yako.
Njia hii inafanya kazi katika vision zote za windows

3. Zima computer kwakutumia Run command.
Fungua Run program kwa kubonyeza Win key + R kwenye keyboard yako. Kisha andika shutdown /s kisha bonyeza Enter ilikuzima computer yako.,

4. Zima computer yako kupitia command prompt.
Bonyeza win key kwenye keyboard yako kisha search CMD, ifungue. Kisha andika kwenye command prompt shutdown /s kisha bonyeza enter, PC yako itazimika.

5. Zima computer yako kwa kupitia slidetoshutdown.exe program.
Fungua Run program kwa kubonyeza Win key + R kwenye keyboard yako. Kisha andika  slidetoshutdown.exe kisha bonyeza Enter ilikuzima computer yako.,

6. Zima computer kwa kutumia Win + X kwenye window 10.
Njia hii inafanya kazi kwenye window 10 tu. Bofya Win + X kisha select shut down ili kuzima window 10.
Kwenye windows 7 ukibofya Win + X utafungua window mobility center.
7. Zima computer kupitia lockscreen.
Lock screen ya computer yako kwa kubonyeza kwa pamoja Win + L kisha bonyeza shutdown icon, computer itazima.
  
8. Zima computer kwa kutumia shortcut icon.
Rightclick kwenye desktop kisha select New> Shortcut. Kisha andika command ifuatayo:-  %windir%\system32\shutdown.exe -s -t 0 kisha bofya next ili kuendelea kisha andika jina la shortcut yako shutdown alafu bofya finish.
Utakapo bonyeza ili kufungua  hii shortcut computer itazimika.

Mpaka hapo Utakuwa Umefanikisha Kuzima Kompyuta Yako Kwa Njia Zilizokuwa Salama.

Kwa Msaada/Ushauri Wowote Kuhusu Vifaa Vya Kielektroniki Wasiliana na Software Support Tanzania.
ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu

Download App Yetu Playstore hapa Chini 
Jiunge na WhatsApp group letu hapa

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi aanasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.



Software Support Tanzania
About the Author

Anania Julius

Technology Writer & Website

Anania Julius creates technology guides, software tutorials, Android solutions, and digital tips to help users understand modern technology.

Found This Helpful? Share It With Others!
🔥 Shared by Readers

Post a Comment

Previous Next

نموذج الاتصال

WaiTech Support Usually replies instantly
Hi there! 👋 Welcome to WaiTech. Type your message below and we'll get it straight to WhatsApp.
You are Online