Habari...
Software Support Tanzaniai inapenda kuwajuzaa ni jinsi gani unaweza kutatua tatizo la Download Pending kwenye google playstore kwa uharaka.
MUHIMU
- Kuwa makini kwenye kila hatua.
- Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
MAHITAJI.
- Simu ya Android
- Access ya Internet
NJIA YA KWANZA
Kama tulivyosema unahitajika umakini katika kila hatua.
HATUA
- Nenda kwenye Menu ya simu yako
- Nenda kwenye Settings
- Kisha kwenye Apps
- Kisha kwenye All
- Tafuta Google Play Store kisha ibonyeze
- Kisha bonyeza kwenye CLEAR CACHE
- Kisha bonyeza kwenye CLEAR DATA.
Download App Yetu hapa Chini
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.

