You haven’t bookmarked any article yet.
JINSI YA KUTATUA TATIZO LA APPLICATION KUFUNGUKA TARATIBU
Android WaiTech |Admin+

JINSI YA KUTATUA TATIZO LA APPLICATION KUFUNGUKA TARATIBU



Habari...

Software Support Tanzaniai inapenda kuwajua ni jinsi gani unaweza kufanya App kwenye Simu yako kufunguka kwa haraka


MUHIMU
  1. Kuwa makini kwenye kila hatua.
  2. Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.

MAHITAJI.
  1. Simu ya Android
  2. Application inayosumbua kufunguka
 NJIA YA KWANZA
Kama tulivyosema unahitajika umakini katika kila hatua.

HATUA
  1. Nenda kwenye  Menu ya simu yako
  2. Nenda kwenye Settings
  3. Kisha kwenye   Apps
  4. Kisha kwenye  All
  5. Chagua Application inayosumbua kufunguka;
  6. Kisha bonyeza kwenye CLEAR CACHE
  7.  Kisha bonyeza kwenye CLEAR DATA.  
Kama inavyoonekano kwenye picha hapa chini



    androidpit clear cache




    Hata hivyo,njia hii inafanya kazi kwenye Application moja moja. ili  kufuta cache kwenye kila App unahitajika ufuate hatua zifuatazo.

    HATUA
    1. Nenda kwenye  Menu ya simu yako
    2. Nenda kwenye Settings
    3. Kisha kwenye  Storage  
    4. Kisha bonyeza kwenye Cache Data or Saved Data;
    5. Screen itakuuliza kuhakikisha unataka kufanya zoezi illi utabonyeza OK ili kukubali.

     Kama njia zote hapo juu hazitokusaidia, kufanya HARD RESET kwenye simu yako.

    Mpaka hapo utakuwa umefanikisha Zoezi illi

    …
    Download App Yetu hapa Chini
    http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

    USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


    Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA


    Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia


    Facebook Page: Software support Tanzania


    Instagram: Softwaresupporttanzania


    Email: softwarestanzania@gmail.com


    BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
    🚀

    Continue Reading

    Continue learning more about Android from WaiTech |

    Software Support Tanzania
    About the Author

    Anania Julius

    Technology Writer & Website

    Anania Julius creates technology guides, software tutorials, Android solutions, and digital tips to help users understand modern technology.

    Found This Helpful? Share It With Others!
    🔥 Shared by Readers

    Post a Comment

    Previous Next

    نموذج الاتصال

    WaiTech Support Usually replies instantly
    Hi there! 👋 Welcome to WaiTech. Type your message below and we'll get it straight to WhatsApp.
    You are Online