Habari...
Software Support Tanzania inapenda kuwajuza ni jinsi gani unaweza ku-unlock mtandao kwenye simu za Samsung zinazotumia mtandao mmoja kwa uharaka,kama Galaxy S6+,S5,S3,J7,J6,J5,J3.J2 Note 5,6 Pia na Simu zaidi ya 100 zinaweza ku-unlockiwa kwa urahisi kwa kutumia Software hii.
ZINGATIA
Software hii inatumika pia..
- Ku flash simu za Samsung
- Kuondoa frp kwenye simu za Samsung
- Inauwezo ku-download Automatically Firmware ya simu husika kwa Kuflashia
- Kurudisha imei zilizo corrupt kwenye simu husika
- Kuondoa screen lock ya simu n.k
PRICE CODE=5000/Tsh
MUHIMU
- Kuwa makini kwenye kila hatua.
- Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
- Tumia Software hii iliyochachuliwa cracked na kujaribiwa na Software Support Tanzania.
- Disable Anti virus wako kabla ya kuanza kufanya installation ya Software hiyo
MAHITAJI.
- Simu ya Aina ya Samsung inayotumia Mtandao mmoja
- Driver za Samsung
- Software ya Zx3 iliyokuwa cracked
- Hakikisha Simu yako imekuwa rooted kama bado Bonyeza Hapa kwa Somo la Ku root
ili kufanikisha zoezi ili fuata hatua zifuatazo
HATUA
- Download Software ya Zx3 samsung Pro iliyokuwa cracked, DOWNLOAD HAPA
- Download Driver za Samsung,DOWNLOAD HAPA
- Extract Software hizo zote mbili ulizozidownload hapo juu kisha install zote
- Fungua icon ya Zx3 Samsung Pro kwenye Desktop yako kisha Run as Admin.
- Nenda kwenye Settings=>About phone=>Build number kisha triple click ilo neno mpaka unonapo ujumbe huu "You are Now Developer"
- Rudi nyuma kwenye Settings ya Simu yako kisha nenda kwenye Developer Option=>Usb debugging na uweke alama ya tick hapo.
- Chomeka simu yako kwenye Computer ukiwa umeiwasha
- Chagua model ya Simu yako unayohitaji kui-unlock Network kisha nenda kwenye UNLOCK
- Kisha bonyeza kwenye COM utaiyona simu yako hapo ime-detect ibonyeza.
- Nenda kwenye sehemu iliyoandikwa UNLOCK mkono wa kulia na ubonyeze hapo
- Subiria Kama dakika 5 mpaka itakapokwambia UNLOCK DONE
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha ku-unlock Mtandao kwenye simu yako
Download App Yetu hapa Chini
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.

