Tumaini letu wote mnaendelea vizuri, Leo
tutafundisha ni namna gani unaweza kui-activate program ya intenet downlod Manager
na kutumia kwa muda wote pasipo kuilipia (permanent)
Program za kupakua au kudownload zimekuwa nyingi
sana mitandaoni siku hizi, watu wengi hupenda kutumia program ya IDM kwenye
kudownload vitu mbalimbali. isipokuwa tatizo la program hii ufanya kazi kwa
siku chache tu na kuhitaji kulipiwa ili kuendelea kuhitumia hivyo basi.
Kutokana changamoto za watu kushindwa kulipia
program hii, Software Support Tanzania imetengeza Program yenye uwezo wa
ku-activate IDM na kuweza kuhitumia bila kufanya malipo ya aina yoyote.
MUHIMU.
- Ni muhimu kuwa na Program yetu ya IDM ACTIVATOR itakayokuwesha kufanikisha Zoezi ili.
- Hivyo ili kufanikisha zoezi ili fuata hatua zifuatazo
HATUA
- Download Program ya IDM Kupita Website Yoyote.
- Install program ya Internet Download Manager.
- Download program yetu ya IDM ( SETUP + ACTIVATOR ) Kupitia link hii
- Fungua program ya IDM ACTIVATOR uliyo-download kwa ku-extract kwa kutumia program moja kati ya hizi 7zip, win rar, win zip n.k
- Run as Administractor program ya IDM ACTIVATOR
- Endelea kufanya installation ya program hiyo mpaka mwisho bonyeza FINISH.
- Rudi kwenye Desktop utaona ICON ya IDM ACTIVATOR Bonyeza ICON hiyo kisha YES baada ya hapo utabonyeza ENTER (Key).
- Fungua Internet downloader Manager nenda Help->About IDM utaona imesajiliwa kama Software Support Tanzania.
Mpaka
hapo utakuwa umefaniwa ku-Activate Internet Download manager.
PASSWORD : Software Support Tanzania
Download App Yetu hapa Chini
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Software_support_tanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support
Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Asante...

