Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-LOCK NA KUFICHA FOLDER BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE





Habari..

Tumaini langu wote mnaendelea vizuri, Na leo tutafundisha njia rahisi ya namna gani unaweza ku-lock folder lenye vitu vyako ndani ili lisiweze kufikiwa na watumiaji wa kompyuta yako kwa kutumia program yetu ya folder locker.

#MAHITAJI

01.Njia hii ni rahisi sana kwani inahitaji kuwa software yetu ambayo ni rahisi kutumia.
02.Kinachotakiwa ni Computer tu unayoitumia .
03.Ujuzi mdogo wa compute.

#MUHIMU
01.Utakapo tumia  Program hii passsword yako itakuwa ICT
02.Zingatia maelekezo kama zilivyo mwisho wa post kuna link yaku-download Software yetu..
03.Kama Hatua zote zitakuwa ngumu kwa upande wako. Toa maoni yako kwenye Kibox cha comment.

FATA HATUA ZIFATAZO KUFANIKISHA ZOEZI ILI .  

 01: Download program yetu ya Locker kupia link hii
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD SOFTWARE YETU

02: Copy ilo file ulilodwonload lenye jina la Locker na ulipaste sehemu(location) yoyote ambapo hauta pasahau.

02: ifungue  program  yetu kwa kubonyeza mara mbili kisha bonyeza YES kuiruhusu ifunguke

03: Weka password kwaajiri ya ku Unlock ilo folder utaweka ICT kwa herufi kubwa kisha bonyeza ENTER

04: Baada ya hapo litajitengeneza folder lenye jina kama la LOCKER. Humo sasa utaweka mafaili yako yote ambayo unahitaji yasionekane na watu wengine wanaotumia hiyo computer

05:Unachotakiwa sasa ni ku-double click program ya locker itafunguka Command yenye maelekezo ya Kiswahili na kuandika ndiyo ili kuficha folder uiloweka vitu vyako.

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuficha ma file yako kwa kutumia simple program yetu.

Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

MUHIMU!

Program hii tumeitengeneza kutoka kwaajiri ya watu walioshindwa zoezi ili kwenye makala zetu zilizopita.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support  tz
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..
NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...