Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO YA ANDROID IWE NA MUONEKANO KAMA WA IPHONE




Habari
Tumaini langu wote mnaendelea vizuri, Leo tutafundisha ni namna gani unaweza ukafanya simu yako ya smart phone kuwa na muonekano kama wa iphone. Njia hii imeshajaribiwa na wanafunzi wangu Zaidi ya 19 waliojaribu nakufanikiwa kwa 100%.

MAHITAJI.
1.      Muda na umakini.
2.      Simu yako ya smart phone.(NO NEED ROOTED)
3.      Tumia link za hapo chini ku-download kwa kila App ya kwenye kila hatua.

Fata hatua zifatazo kwa umakini ilikufanikisha zoezi ili kufanikisha zoezi ili.
HATUA
1.      Kwenye simu yako nenda kwenye setting > security > unknow source > weka tiki hapo au OK
2.      Download Application inaitwa ‘’ilaucher’’ nahui-download.(Usije ukaifungua wala kubonyeza neno open baada ya kuidownload) link ya kudownload hii apa chini
http://www.mediafire.com/file/ji9j6k39xcg0090/iLauncher.apk
3.      Download na iinstall App inaitwa “inoty” nje ya playstore.(kisha ifungue na iuruhusu kufanya kazi).
http://www.mediafire.com/file/9w84b4wtvh0bkth/iNoty.apk
4.      Download na iinnstall App inatwa “ios7 keyboard”.(Kisha ifungue na uiruhusu kuwa default keyboard yako).
http://www.mediafire.com/…/iOS.7.Keyboard.iPhone.Emoji.1.9
5   .Download mlio wa iphone kupitia link hii
       https://download-apple-ringtones-free.mobilesringtones.com/download1.php?f=iphone_6_original.mp3&id=7120
6.      Nenda playstore kwenye simu yako kisha Download App inaitwa ilock na uiisntall kisha weka lock yako unayoipenda.
7.      Rudi back na uende kwenye menu ya simu yako kisha tafuta App inayoitwa “ilauncher” ambayo ulidownload kwenye hatua ya pili bila kuifungua.
8.      Fungua App hiyo ya “ilauncher” na uiruhusu kuwa default launcher kwenye simu yako.
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuweka muonekano wa iphone katika simu yako.

 Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Software_support_tanzania
Calls: 0657672808
          0715575017
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..





NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...