Habari..
Tumaini langu wote mnaendelea vizuri, Na leo tutafundisha ni namna gani unaweza kupakua au kudownload App za playstore na nje ya playstore za kununua bila kutumia gharama yoyote.
MUHIMU
Kuna Application Developer wengi sana waliotengeneza App nyingi tofauti tofauti kwaajili ya ku-crack baaadhi ya App za kulipia na wengine kutengeneza App market zao kwaajili ya kushare App tofauti tofauti ambazo zilishakuwa cracked nazakawaida .Zifatazo ni baadhi ya App zinazoweza kukusaidia kupata au kupakua App za playstore bila ya gharama yoyote ile Kamaa.
1. Mobigenie market apk.
2. Blacksmart apk.
3. 4share
Tunashauri utumie Blacksmart na ndio tutakayo onesha jinsi ya kuitumia leo.
Hivyo fata hatua zifatazo kwa umakini ili kufanikisha zoezi ili.
HATUA
1 Hakikisha umeruhusu kuiinstall App from UNKNOWN SOURCES.
Kama bado Nenda kwenye Settings==>security==>Unknown source nauweke alama ya tick hapo au ON.
2 Download App inayoitwa BLACKSMART.(kwa kutumia browser yoyote) na siyo Playstore.
Download Hapa
3 Install na uifungue hiyo App baada ya kuidownload na ufate maelekezo mafupi ya kumalizia kwa kwakuitumia.
4 Nenda playstore tafuta App yoyote au game la kulipia unalohitaji kulipakua fanya kama unatakata kuli-install utaoona kiasi cha dollar kwenye neno install. Acha usibonyeze hapo kalili jina la hiyo App kama lilivyo.
5 Nenda kwenye menu ya App za simu yako kisha fungua blacksmart na uitafute ile App yakulipia ulitoka kuidownload kwenye playstore, utaiyona na kiasi chake cha pesa.
6 Click kwenye neno install na hiyo App itaanza kudownload automatically bila kulipia.
TOFAUTI.
Ø Kwenye Playstore App ya kulipia kwenye neno install wameweka gharama za kulipia hivyo huwezi ku-install kupitia pale.
Ø Kwenye Blacksmart App ya kulipia imeshakuwa cracked hivyo inaonenesha gharama ya app na unaweza ku-install.
Nenda kwenye playstore itafute tena ile App ya kulipia uliyoitafuta kwenye hatua no.5 na kuidownload kupitia blacksmart itakuja na baada ya kuonona gharama za pesa kwenye neno install utaona neno OPEN. Mpaka inamaanisha kuwa ulishainunua.
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kudownload App ya kunnuaua bila ya gharama yoyote kwa free kabisa.
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Software_support_tanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..
