Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUTENGENEZA VIRUS ANAEWEZA KUZIMA COMPUTER




Habari..
Tumaini langu wote mnaendelea vizuri, Leo tutafundisha ni namna gani unaweza kutengeneza virus ambae anaweza kuzima kompyuta yako au ya rafiki yako bila kutumia SOFTWARE AU PROGRAM YOYOTE.

SIFA ZA VIRUS HUYU
  • Virus huyu uzima kompyuta ya muhusika baada ya muda flani pale utakapokuwa ume_mclick
  • Virus huyu hatozulu kompyuta ya mtu yoyote yule isipokuwa kuizima kompyuta ya muhusika kwa wakati flani na kutoa ujumbe wakumshangaza kabla ya kuzima mfano. VIRUS DELETED YOUR WINDOW SHUTDOWN
  • Virus huyu anamadhara isipokuwa kumtishia mtu TU hivyo unaweza kumuweka kwenye kifaa chochote kama memory card na USB FLASH.
  • Virus huyu unaweza ukamtumia rafiki yako kwa njia yoyote kama email n.k kwa lengo la utani.(Ila sikushauri ufanye hivyo).
HATUA
1.      Bonyeza Window +R kwa pamoja.
2.      Andika NOTEPAD kwenye kibox kitakachokuja then press Enter.
3.       Andika code zifuatazo kwenye notepad kama zilivyo bila kukosea.
@echo off
                shutdown.exe -s -t 60 -c “virus detected window shutdown”
4.       Edit neno hili virus detected window shutdown na uweke ujumbe unahitaji na  ndio
             ujumbe utakao onekana kabla computer haijazima.
5.      Edit hiyo no.60 kwenye hizo code na uweke muda unahitaji COMPUTER ya muhusika izime  kwa kutumia mfumo wa sekunde Kwa mfano kama unahitaji Computer izime baada ya dakika 5 utazidisha 5x60 utapata sekunde 300 amabazo nisawa sawa na dakika 5 ndio utaziweka hizo sec. kwenye hizo code hiyo 60 tumetumia kama dakika 1 kwa kuzizidisha 1x60=60 ndio tukaweka kama mfano. 
6.       Nenda kwenye filie-save as na usave hilo file kwajina hili ICT.bat (usisahau kumalizia na bat)
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha zoezi hilo kwa 100% kama kuna maoni yoyote au swali loloteweka kwenye commonts.

      MUHIMU

      Fanya kwa lengo la kielimu pekee na sio kwa matumizi mengine.




NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...