Tumaini letu wote
mnaendelea vizuri.
Leo tutafundisha ni
namna gani unaweza kuangalia mpira kwenye Smartphone yako LIVE
MUHIMU
1. Unatakiwa kuwa na smartphone yenye
Android kama Operating system yake
2. Internet itahitajika katika zoezi
hili
3. Hakikisha unafuata hatua zote kwa
usahihi
4. Application tutakayotumia
haipatikani Playstore
HATUA
11. Nenda kwenye setting ya simu yako
kisha kwenye Security=>Unkwon source na weka ON sehemu hiyo
22. Fungua Browser yoyote kwenye simu
yako
33. Tafuta Application inayoitwa MOBDRO
kwa kuandika Mobdro apk kwenye browser yako
44. Dowmload na Install App hiyo kwenye
simu yako kisha utaona channel tofauti tofauti kwa ajili ya kuangalia mpira
online sports
55. Utatafuta channels ya mpira
unayotaka kuangalia kupitia hiyo app na kuanza kuangalia.
66. Pia unaweza kuangalia channels
zingine tofauti na mipira utaziona channels nyingi sana na unaweza ukatafuta
kwa unavyohitaji.
Download App Yetu hapa Chini
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.
Imeandaliwa na
SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano
Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram:
Software_support_tanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
Don’t forget to
subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare
darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..

