Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-CRACK AU KUCHAKACHUA SOFTWARES ZOTE ZA WINDOW 8




Habari…
Tumaini letu kuwa mnaendela vizuri.
Leo tutawafundisha ni jinsi gani unaweza kuchakachua/crack software yoyote ya window 8 na ukazitumia kama kawaida.


WINDOW 8 ni kiini kikuu cha kompyuta(main operating system) kama zilivyokuwa OS zingine kama window 7,10,XP,Ubuntu,Soft nn. Isipokuwa kitu kikubwa kwenye window 8 ni start screen mpya ambayo imeongezwa kutoka kwenye Window 7, moja ya ongezeko nikwamba softwares nyingi karibu zote zimekuwa designed kwa ajili ya Window 8 tu na hizi software hazipatikani kokote zaidi ya kwenye store ya windows 8. hii imefanya watu wengi wanaopenda mambo ya kuchakachu(Crackers) kuwa ngumu kuweza kuzitumia Software hizo.
MUHIMU
1.       Hakikisha umedissable antivirus yako
2.       Hakikisha pia ume-disconnect Internet kwenye PC yako wakati wa kuinstall Software yako
3.       Antvirus wako au window defender anaweza akatambua kama ni virus lakini usijali we uta ignore tu..

MAHITAJI
1.       Computer yenye Operating System ya Window 8
HATUA
11.  Hakikisha Winrar imekuwa installed kwenye PC yako
22.    Download software yoyote unayoika ya window 8 ila iwe trial.
33.   Download software ya kuCrack software zote za window 8 kupitia link hii
44.  Ukishadownload extract mafile yote kwa kutumia winrar kwenye folder unalotaka
55.    utapata mafolder matatu ambayo yameandikwa hivi  ‘wscrack_32’ na ‘wscrack_64’ na ‘wscrack_anycpu’
65.  Fungua ma-file matatu hayo kulingana na kubwa wa RAM yako na BIT’S za window uliyoweka kama ni 32bit ingia folder la 32bit ni 64bit ingia kweye folder la 64bit.
76.     Baada ya kujua bits ya window yako uta itainstall folder husika kwenye window yako.
87.    Baada ya kuinstall folder husika utarudi nyuma kwenye folder lililo andikwa hivi wscrack_anycpu.
98.     Fungua ilo folder na install hiyo software kisha utaona softwares zote zilikuwa kwenye computer yako utatafuta trial ya software unayotaka kuicrack halafu uta-icrack.
1.   Utakuwa umeweza ku crack software yako kama ni Ant virus n.k

Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Software_support_tanzania
Calls: 0657672808
          0715575017
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...