You haven’t bookmarked any article yet.
JINSI YA KUTENGENEZA LAN DRIVER KWENYE KOMPYUTA
HOME WaiTech |Admin+

JINSI YA KUTENGENEZA LAN DRIVER KWENYE KOMPYUTA

Image result for how to fix lan drive


Habari...

Karibuni tena Software Support Tanzania leo tungependa kuonesha ni jinsi gani unaweza kurekebisha matatizo ya LAN DRIVER katika computer yako tunapokea sana matatizo ya LAN DRIVER hivyo leo tunaona jinsi ya kutatua tatizo hili.

Ili kufanikisha zoezi hili yakupasa ufuate hatua zote kwa usahihi

                

Hatua 1: Kwanza pakua program na kisha kimbiza (Run) na Sakinisha (Install)

Hatua 2: Ikiwa umemaliza kusakinisha (Install) program itafunguka na utabonyeza kwenye neno Ethernet Card Option


Hatua 3: Sasa itaonekana sanduku la mazungumzo ( Dialog Box ) na bonyeza kitufe cha Inayofuata (Next) na usubiri kwa sekunde chache.


Hatua 4: Kwa hatua hizo utakua umefanikisha zoezi la kutatua tatizo la LAN DRIVER.

                  Fix WLAN Driver In Windows 7 4   


Bonyeza hapa kupakua program

Ili kupata Password wasiliana na Software Support kwa Namba zifuatazo 0657672808-0715575017

Natumai kufurahia makala hii ikiwa kuna tatizo lolote comment ...

Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

Jiunge na WhatsApp  group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.

 

🚀

Continue Reading

Continue learning more about HOME from WaiTech |

Software Support Tanzania
About the Author

Anania Julius

Technology Writer & Website

Anania Julius creates technology guides, software tutorials, Android solutions, and digital tips to help users understand modern technology.

Found This Helpful? Share It With Others!
🔥 Shared by Readers

Post a Comment

Previous Next

نموذج الاتصال

WaiTech Support Usually replies instantly
Hi there! 👋 Welcome to WaiTech. Type your message below and we'll get it straight to WhatsApp.
You are Online