
Habari...
Software Support Tanzania inapenda kuwajuza ni jinsi gani unaweza kutengeneza Virus ambae anaweza kuzima Kompyuta yako au ya Rafiki yako bila kutumia Software Au Program
Yoyote.Yawezekana ukawa mmoja wapo kati ya watu wanaopenda kuwashangaza Ndugu au Rafiki Kwa kumtumia Fake Virus kwenye Kompyuta Yake.
SIFA ZA VIRUS HUYU.
01.Virus huyu uzima Kompyuta ya muhusika baada ya muda flani pale utakapokuwa ume_mclick
02.Virus huyu hatozulu Kompyuta ya mtu Yoyote yule isipokuwa kuizima Kompyuta ya muhusika kwa wakati flani na kutoa ujumbe wakumshangaza kabla ya kuzima mfano.
VIRUS DELETED YOUR WINDOW SHUTDOWN
03.Virus huyu anamadhara isipokuwa kumtishia mtu TU hivyo unaweza kumuweka kwenye kifaa chochote kama memory card na USB FLASH.
04.Virus huyu unaweza ukamtumia rafiki yako kwa njia yoyote kama email n.k kwa lengo la utani.(Ila sikushauri ufanye hivyo).
ili Kufanikisha Zoezi ili Fata Hatua Zifuatazo
Fanya kwaajiri ya utani TU.
HATUA
1 Bonyeza Window + R kwa pamoja.
2. Andika NOTEPAD kwenye kibox kitakachokuja then press Enter.
3. Andika code zifuatazo kwenye notepad kama zilivyo bila kukosea.
@echo off
cd /
shutdown -s -t 60 -c "virus detected window shutdown"
exit
4. Edit Neno "virus detected window shutdown" na uweke ujumbe unaohitaji na ndio ujumbe utakao onekana kabla Ya Kompyuta haijazima.
5. Edit hiyo Namba 60 kwenye hizo code na uweke muda unahitaji Kompyuta ya muhusika izime kwa kutumia mfumo wa sekunde.
Mfano
Kama unahitaji Kompyuta ya Muhusika Izime baada ya dakika 5 utazidisha 5x60 utapata sekunde 300 amabazo nisawa sawa na dakika 5 ndio utaziweka hizo Sekunde. kwenye hizo code hiyo 60 tumetumia kama dakika 1 kwa kuzizidisha 1x60=60 ndio tukaweka kama mfano.
6. Nenda kwenye filie=>Save as Kisha Save hilo file kwajina Lolote ukimalizia na .bat (usisahau kumalizia na .bat)
Mfano
Virus.bat
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha zoezi hilo kwa 100% kama kuna maoni yoyote au swali loloteweka kwenye commonts.
ANGALIZO.
Fanya kwa lengo la kielimu na kijufunza na usije ukamuweka kwenye kompyuta ya mtu bila ridhaa yake wala kumtumia.
Mpaka hapo utakuwa umefanikisha zoezi hilo kwa 100% kama kuna maoni yoyote au swali loloteweka kwenye commonts.
Kwa Msaada/Ushauri Wowote Wasiliana na Software Support Tanzania.
Download App Yetu hapa Chini
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.
