Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUINSTALL KALI LINUX KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID



How to install Kali Linux on your Android


Habari..
 Software Support Tanzania leo inapenda kuwajuza ni jinsi gani unaweza ku-install kali linux window katika smartphone yako ya Android


Kabla hatujaendelea, Hakikisha simu yako ina vigezo visivyopungua hivi kama chini vinavyoonekana.
  1. Kifaa/simu inayoendesha Android kuanzia 2.1 na kuendelea.
  2. KIfaa/simu yako lazima iwe rooted
  3. Pia hakikisha kifaa/simu yako ina nafasi kuanzia 5GB kwenye memory ya simu(Internal Memory)
  4. Hakikisha kifaa/simu yako ina chaji ya kutosha isiyopungua 80%.
  5. Download Busybox App. Download hapa
  6. Download Linux Deploy. Download hapa
  7. Download Android VNC Viewer. Download hapa
  8. Hakikisha una Internet Connection kwenye simu yako
  9. Mwisho kuwa mvumilivu kusubiri.
                      
HATUA

Hatua 1:
Kwanza unahitajika ku-install UNIX script kwenye simu yako kwa kutumia Busybox App pakua(download) na usakinishe App.
Hatua 2:
Pangilia Linux Deploy:
  • Kwanza kabisa pakua na usakinishe program ya LINUX inayopatikana kutoka kwenye PlayStore
  • Sasa baada ya kuifungua na kuisakinisha program kwenye simu yako na bonyeza kwenye download button
  • Kisha nenda kwenye Distribution Option na ubadili kwa kali linux
  • Sasa futa juu (scroll up) na bonyeza kwenye install button
  • Sasa subiri kudownload kumalizike itahitaji muda kidogo kulingana na kasi ya internet yako.








Hatua 4:

Sasa pakua na usakinishe program ya VNC Viewer kwen ye simu yako kutoka kwenye hifadhi ya Play (PlayStore)
Sasa fungua App ya VNC Viewer na ujaze mipangilio
Sasa bonyeza Connect button

Hadi kufikia hapo utakua umekamilisha na utakua na uwezo wa kuendesha KALI LINUX kwenye simu yako

Download App Yetu hapa Chini
 

Jiunge na WhatsApp  group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.

 


NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...