Habari...
Software Support Tanzania tunapenda kutoa masomo mbalimbali yanayohusiana na teknolojia za simu na computer na leo tunapenda kujulisha wafuatiliaji wetu kuhusu jinsi unaweza Kuondoa/ku-bypass Frp kwenye Simu zenye processor za mtk.
Kama Tecno,Alcate,.Infinix,Vodafone. n.k
Factory Reset Protection(FRP) Ni Lock ya usalama kwenye Android 5 Lollipop na vifaa vya juu vinavyosababishwa wakati kifaa kilicho na akaunti ya Google iliyofananishwa ni rekebisha kupitia orodha ya kurejesha / fastboot.
MUHIMU
- Kuwa makini kwenye kila hatua.
- Kutumia firmware ya simu husiku kabla ya kuflash.
- Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
- Kompyuta
- Orginal USB cable
- MTK USB Driver. Download Hapa
- Flash Tool: Smart Phone Flash Tool. Download Hapa
- FRP RESET FILE la simu husiku. Bonyeza Hapa Chani kuchagua
DOWNLOAD HAPA FRP REST FILE
Kama tulivyosema unahitajika umakini katika kila hatua.
HATUA
1.Fungua SP Flash Tool kisha bonyeza kwenye Scatter-loading ndani ya Flash Tool kisha chagua Frp Reset File ya simu husika ulilolidownload hapo juu.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

2: Install MTK USB Driver Kwenye Kompyuta Yako Au (Ruka Hatua hii Kama Ulisha install).
Chagua Firmware Upgrade or Download option Ndani Ya Flash Tool Kisha Bonyeza Kwenye Download button. Kisha Zima Simu Yako na Uchomeke Kwenye Kompyuta Kwa Kutumia USB Cable.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

3. Utaratibu wa Kuondoa lock hito Utaanza Sasa Na Kusubiri Mpaka Ku-Flash Kumalize. Inaweza Kuchukua Dakika 5-10 Kwa Kakati Huo Usiondoe Kifaa Chako Kutoka Kwenye Kompyuta. Baada Ya kufanyika Utaona Wa Ujumbe Huu Download OK message.
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

Mpaka hapo Utakuwa Umefanikiwa Kuondoa Frp kwenye Simu na nakwendelea Kuitumia Upya Kama hapo Awali.
FAHAMU:
- KuFlash Simu itakusaidia kurudisha Operating Sysytem iliyokufa Kwenye Simu Yako.
- Kwenye Ku-Flash Simu Database Yote Ya Vitu Vyako Vitaondolewa Kama ( Vitabu, Application, Muziki, Video, Picha)
.
Njia hii hapa inahusisha SP Flashtool. Huna haja ya Miracle Box au Box lolote la Kichina la Kuflashia au chochote. Utahitaji kupakua faili ya kurejesha FRP kwa kifaa chako maalum.
Kwa njia hii, unaweza kurekebisha FRP kwenye kifaa chako kama pro na yote uliyokuwa nayo kwenye kifaa utahifadhiwa.
Ukubwa wa faili ni zaidi ya kilobytes, salama sana na rahisi kutumia.
TUMIA FRP FILE ZILIZOPO HAPO CHINI,
Download App Yetu hapa Chini
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.
Ahsante kwa kusoma makala hii kutoka kwa Software Support Tanzania
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.
…
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Asante kwa kutumia huduma zetu
Software Support Tanzania
…

