Habari...
Software Support Tanzania Tunafahamu Kuwa Asilimia Kubwa ya Wasomaji Wa Tovuti Yetu Wanatumia Application Ya WhatsApp, Na Hii Ndio Sababu Kubwa Leo Tumependelea kukujuza kuhusu Maujanja Ya WhatsApp Ambayo Tunajua Kwa Namna Moja Ama Nyingine Yanaweza Kurahisha Maisha yako.
MAHITAHI
- Bando la Internet Angalau 200GB
- Application Ya WhatssAp
Namba .
Application Ya Notisave
WhatsDirect
Namba 2.
Whats direct ni app ambayo itakusaidia kuweza kutuma meseji ya whatsapp kwa mtu bila hata kuwa na namba yake kwenye simu yako. App hii ni nzuri kama unataka kuwasiliana na mtu mara moja na utaki kusave namba yake kwenye simu yako.
Away
Namba 3.
Away ni app ambayo itakusaidia kuweza kujibu meseji zako za WhatsApp bila kuandika kwa mkono. App hii inaweza kuwa kukusaidia kutuma meseji pale utakapo kuwa hutaki kushika simu yako kujibu meseji watu kila mara. App hii ni nzuri kwa wafanya biashara ambao hawataki usumbufu wa kushika simu kujibu meseji za wateja kila mara.
Audio Status Maker
Namba 4.
Kama kwa namna yoyote unataka kuweka status ya muziki ambao hauna video kwenye sehemu ya status kwenye programu yako ya WhatsApp basi app hii ni nzuri sana kwako. App hii inakupa uwezo wa kuweka nyimbo za mp3 kwenye sehemu ya Status ya WhatsApp, wote tunajua kuwa huwezi kuweka audio kwenye status bali ni lazima kuweka video, lakini app hii inakusaidia kuweka audio kwenye sehemu hiyo.
Mpaka Hapo Utakuwa Umefanikisha Kujua Tuliyokuandalia Siku Ya Leo, Kama Una Maswali Au Maoni Kuhusu Makala Hii Unaweza Kuuliza Hapo Chini Kwenye Makala Hii… Tunatumaini Maujanja Haya Yatakusaidia kwa Namna Moja Au Nyingine. ili Kuwa Wakwanza Kupata Masomo Haya Kumbuka Kudownload Application Yetu Hapo Chini ni buree KABISAA.
ili Kuwa Wa Kwanza Kupata Masomo Yetu
Download App Yetu Playstore hapa Chini
Download App Yetu Playstore hapa Chini
Jiunge na WhatsApp group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.
Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi aanasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.
