Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUZUIA APP NOTIFICATION KWENYE SIMU ZA ANDROID







Habari...

Software Support Tanzania inapenda kuwajuza ni jinsi gani unaweza kuzuiya Notification mbalimbali za Application zinazokuja na kujazana kwenye Bar screen yako kwa kupenda ama kutopenda.

Ikiwa unahisi App Notification zinakusumbua basi unaweza kuzuia kwa aina mbili

Unaweza kuzuia App unayohitaji isitoe Notification Au Unaweza kuzuia App zote

Katika Makala hii utona njia zote mbili

NJIA YA KWANZA

Kuzuia Notification kwa App moja moja.

Kwa Android version za 5 (Lollipop) na kuendelea:

Fuata hatua Zifuatazo ili Kufanikisha Zoezi ili....

HATUA

  1. Nenda Kwenye Settings 
  2. Sound and notification 
  3. App notifications 
  4. Nenda kwenye App  husika
  5. Weka On kwenye toggle beside “Block all”.


Kwa Androi za Jelly Bean and KitKat 

HATUA
  1. Nenda kwenye "Settings"
  2. "Apps" Au "Application Manager" kwa Simu za Samsung
  3. Nenda kwenye  "All"
  4.  Ondoa Tick kwenye sehemu ya  “Show notifications”
  5. Bonyeza OK kwenye confirmation dialog box.


Hapo huwezi kupokea taarifa za Application husika tena. Unaweza kutumia hatua zilizo juu ili kuacha taarifa zisizohitajika kutoka kwa App unayotaka.

Vinginevyo, unaweza kutumia hatua sawa ili kuzuia taarifa za Apps zote za Android
Lakini, ni kazi ya muda na unaweza kufanya hivyo kwa dakika 2 kwa kutumia Application inayofuata.

NJIA YA PILI

Kuzuia Notification kwa Application zote.

HATUA
  1. Download Hapa Notifications Off  Apk kuzuia notifications kwa App zote.
  2. Fungua na uruhusu Root Permission iweze kutumika kama ujaroot Simu yako Bonyeza Hapa
  3. Fungua Apk uliyoi-download kwenye hatua No.
  4. Kuondoa Tick kwenye Apps  ina maana umezuia notification kwa App maalum Au Zote.
  5. Bonyeza kwenye “Hamburger” icon na tap “+”.
  6. Andika  Profile name. Katika hali hii, Ninaunda wasifu ili kuzima Taarifa zote. Kwa hivyo, tunaiita kama "Disable All
  7. Chagua “Disable all” kwenye list ya chini.
  8.  Bonyeza “Clear all” button.
  9. Bonyeza Save icon Kwa Upande wa Juu.

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuondoa Taarifa Au Notification Kwnye Simu Yako Zilizokuwa Ziakusumbua Huenda hata Kuchangia  Kukumalizia Chaji Kwa Kiwango Kikubwa.

Kwa Msaada/Ushauri Wowote Wasiliana na Software Support Tanzania.

Download App Yetu hapa Chini
 https://play.google.com/store/apps/details?id=softwaresupporttz.blogspot.com.softwaresupporttz&hl=en

Jiunge na WhatsApp  group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.













Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...