Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-UNLOCK PASSCODE KWENYE iPhone 4 MPAKA iPhone 8






Habari...

Software Support Tanzania inapenda kuwajuza ni jinsi gani unaweza ku-unlock Passcode au Screen lock za iphone  kwa uharaka pale inapotokea umezisahau kwa urahisi kwa kutumia Software hii.

Iphone Passcode Unlocker cracked by Software Support Tanzania

ZINGATIA

Software hii inatumika pia..
  1. Kuondoa Tatizo La iPhone is Disable.
  2. Kutatua Tatizo la Simu za iPhone Kuonesha Mwanga Mweusi pale unapoiwasha.
  3. Kuondoa (Ku-Bypass) Passcode zilizo sahaulika Kwenye iPhone
  4. Tatizo la iPhone kujiwasha kwenye iTune Mode Moja Kwa Moja
  5. Ku update IOS kutoka kwenye Old kwenda kwenye Latest.
Software hii imejaribiwa na kufanya kazi kwenye Simu zifuatazo...
  1.  iPhone 4
  2. iPhone 4S
  3. iPhone 5
  4. iPhone 5c
  5.  iPhone 5s
  6. iPhone 6
  7.  iPhone 6 Plus
  8.  iPhone 6s
  9.  iPhone 6s Plus
  10.  iPhone SE
  11.  iPhone 7
  12.  iPhone 7 Plus
  13.  iPhone 8
  14.  iPhone 8 Plus


             PRICE CODE=10,000/Tsh

MUHIMU
  1. Kuwa makini kwenye kila hatua.
  2. Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
  3. Tumia Software hii iliyochachuliwa cracked na kujaribiwa na Software Support Tanzania.
  4. Utakapotumia Software Mbali na tuliyotumia na kutolea maelezo na kuuwa Simu Yako mazima sisi hatutohusika kwa uharibifu Huo.

MAHITAJI.
  1. Moja kati ya Simu zilizo orodheshwa hapo juu.
  2. Software ya 4ukey Unlocker iliyokuwa Licensed kutoka kwenye Website Yao 
4uKey  Unlocker Setup=====>    DOWNLOAD HAPA
4uKey Unlocker Activator==>     DOWNLOAD HAPA

ili kufanikisha zoezi ili fuata hatua zifuatazo

HATUA

1:  Install 4uKey Unlocker tuliyokupatia Hapo Juu.


2.Fungua Software ya 4uKey tuliyokupatia hapo juu baada ya Ku-Install

Utaona Muonekano kama huu



3: Ipeleke Simu Yako kwenye iTune Mode kwa kubonyeza Home Button + Power Button kwa Pamoja.

4.Chomeka Simu  Kwenye Kompyuta kwa ktumia Original Usb Cable Software hii ita-detect automatically Simu yako Kisha Bonyeza kwenye ."Start"

Kama inavyoonekana hapa Chini



Kama Simu yako haita detect kwenye Software Hii Fuata hatua zifuatazo kuingia kwenye   "Recvoery Mode" Au "DFU Mode" kuifanya isome kwa urahisi.

Picha Jinsi ya Kuingia kwenye  "Recvoery Mode" Au "DFU Mode"


Picha Jinsi ya Kuingia kwenye  "DFU Mode"


4: Bonyeza Kwenye Download ili ku download Firmware itakayokusaidia kufanikisha Zoezi ili

Au Wasiliana na Software Support Tanzania ili kupata Firmware zilizokuwa Tested kwa Uhakika Zaidi

Kama inavyoonekana kwenye Picha Hapa Chini.




5. Subiria Software imalize ku download




6: Bonyeza "Start Unlocking" ili kuondoa iPhone Locked Screen

Baada ya Kuobonyeza kwenye "Start Unlocking" Software itaendelea kuondoa iPhone passcode kwenye Kifaa chako Muda mfupi.

Kama inavyoonekana Kwenye Picha hapa Chini



7. Endelea kusubiria ukiwa Software ikiendelea kupoteza kukumbukumbu za Passcode file kwenye
Kifaa Chako.

  

8. Bonyeza kwenye Neno "Done"

Wakati neno la Siri la iPhone limeondolewa kwa mafanikio, unaweza kuanzisha iPhone yako kama mpya, ikiwa ni pamoja na,Touch ID , Face ID settings.ikiwa una iTunes / iCloud Backup iliyopita, unaweza kurejesha iPhone kutoka kwa Backups.

 Kama inavyoonekana Kwenye Picha Hapa Chini





Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuondoa Passcode kwenye iPhone yako kwa urahisi na uharaka   kwenye Simu kama iPhone 4,4S,5,5S,6,6S,6+,iPhone SE, 7,7Plus,8 na 8Plus.

Kwa Msaada/Ushauri Wowote Wasiliana na Software Support Tanzania.


Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

Jiunge na WhatsApp  group letu hapa
USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.








Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...