Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-UNLOCK SIMU ZA HUAWEI ZINAZOTUMIA MTANDAO MMOJA





Habari...

Software Support Tanzania inapenda kuwajuza ni jinsi gani unaweza ku-unlock mtandao kwenye simu za Huawei,Htc,Blackberry,Xperia,ALcatel,LG, Zte zinazotumia mtandao mmoja   kwa uharaka,kama Huawei, Pia na Simu zaidi ya 80 zinaweza ku-unlockiwa kwa urahisi kwa kutumia Software hii.

Nck Main module Unlocker cracked by Software Support Tanzania

ZINGATIA

Software hii inatumika pia..
  1. Ku Unlock Network kwenye Simu Tofauti tofauti kama ilivyo orodheshwa hapo awali 
  2. Ku Unlock baadhi ya Modem za Huawei
  3. Kurudisha imei zilizo corrupt kwenye kifaa husika
  4. Kuonesha taarifa za Simu.
  5. Flash Recovery  n.k
  6. Ku Flash simu za Alcatel na Zte.
Software hii inafanya kazi kwenye..
  1.   HUAWEI Y100->Y536,G300G740 n.k
  2.   ALCATEL
  3.  NOKIA
  4. .HTC
  5.  LG
  6.  XPERIA
  7.  BLACKBERRY
  8.  ZTE & naazingine

             PRICE CODE=5000/Tsh

MUHIMU
  1. Kuwa makini kwenye kila hatua.
  2. Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
  3. Tumia Software hii iliyochachuliwa cracked na kujaribiwa na Software Support Tanzania.
  4. Disable Anti virus wako kabla ya kuanza kufanya installation ya Software hiyo

MAHITAJI.
  1. Moja kati ya Simu zilizo orodheshwa hapo juu.
  2. Driver za Samsung
  3. Software ya  Nck main module Unlocker iliyokuwa cracked 
  4. Hakikisha Simu yako imekuwa rooted kama bado Bonyeza Hapa kwa Somo la Ku root

ili kufanikisha zoezi ili fuata hatua zifuatazo

HATUA
  1. Download Software ya Nck main module Unlocker iliyokuwa cracked, DOWNLOAD HAPA
  2. Download Adb  Driver ,DOWNLOAD HAPA   
  3. Extract Software hizo zote mbili ulizozidownload hapo juu kisha install  zote
  4. Nenda kwenye Settings=>About phone=>Build number kisha triple click ilo neno mpaka unonapo ujumbe huu "You are Now Developer" 
  5. Rudi nyuma kwenye Settings ya Simu yako kisha nenda kwenye Developer Option=>Usb debugging na uweke alama ya tick hapo
  6. Fungua icon ya NCK UNLOCKER  kwenye Desktop yako kisha Run as Admin.
  7. Chagua Brand na model ya Simu yako unayohitaji kui-unlock Network  kisha bonyeza kwenye neno UNLOCK
  8. Chomeka simu yako kwenye Computer ukiwa umeiwasha 
  9. Bonyeza YES au OK kwenye Simu yako ikikuomba permission 
  10.  Utaiyona utaiyona simu yako hapo ime-detect na kusoma taarifa zake.
  11. Subiria Kama dakika 5 mpaka itakapokwambia UNLOCK DONE.

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha ku-unlock Mtandao  kwenye simu yako ya HUAWEI,
HTC,BLACKBERRY,XPERIA,ALCATEL,LG, ZTE n.k utazima simu yako na kuweka line ya mtandao mwingine na kuanza kutumia.


Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.


Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Post a Comment

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...