Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUONDOA FRP BILA KUTUMIA KOMPYUTA






Habari...!

Software Support Tanzania inapenda kuwajuza ni jinsi gani unaweza kuondoa Factory Reset Password (FRP) kwenye simu yako ya Android kama Tecno, Infinix ,Huawei na zinginezo pasipo kutumia Computer.

Ili kufanikisha zoezi ili fuata hatua zifuatazo.

HATUA
  1. Washa Simu yako, iunganishe na Wi-fi connection
  2. Bonyeza kwenye  Add network 
  3. Andika maneno yoyote kisha , bonyeza na ushikilie ili uonyeshe na kisha bonyeza kwenye alama dots 3 ambazo zingeonekana hapo juu.
  4. Kisha bonyeza kwenye Assist. 
  5. Mara baada ya kubonyeza kwenye neno Assist itakupeleka moja kwa moja kwenye Google Search na andika Chrome kisha ifungue
  6. Kupitia Chrome Download hapa Quick Shortcut Maker Apk
  7. Download hapa Google Account Manager Apk   kulingana na Android version ya simu yako.
  8. Andika File Manager kwenye Google search kisha fungua na nenda kwenye Downloads file
  9. Install Google Account Manager Apk uliyodownload.
  10. Install Quick Shortcut Maker app na uifungue
  11. Baada ya hapo andika Google Account Manager  kwenye search na bonyeza kwenye Google Account Manager.
  12. Bonyeza kwenye neno Type Email and Password kisha bonyeza kwenye neno "Try"
  13. Kisha utaona ujumbe huu "enter your password" bonyeza kwenye doti 3 zilizopo upende wa juu wa kulia wa simu yako kisha bonyeza kwenye neno "Sign-in"
  14. Andika Google Account Email na password yako kisha bonyeza "Sign-in" 
  15. Restart kifaa/simu yako kwa kufikia hapo utakua umefanisha kuondoa FRP kwenye simu yako.
Ahsante kwa kusoma makala hii kutoka kwa Software Support Tanzania

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia

Facebook Page: Software support Tanzania

Instagram: Softwaresupporttanzania

Email: softwarestanzania@gmail.com

BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/

Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania

Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Asante kwa kutumia huduma zetu

Software Support Tanzania


NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...