Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-UNLOCK MODEM YA TIGO HUAWEI





Habari...

Software Support Tanzania inapenda kutoa masomo mbalimbali yanayohusiana na teknolojia za simu na computer na leo tunapenda kujulisha wafuatiliaji wetu kuhusu jinsi ya kuondoa network lock kwenye modem ya Tigo na kuweza kuhitumia kwenye mitandao mingine kama Vodacom,Airtel,Halotel n.k


MUHIMU
  1. Kuwa makini kwenye kila hatua.
  2. Software yetu ya inayokuzesha kupata unlock code.
  3. Software Support Tanzania hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.

MAHITAJI.
  1. Kompyuta
  2. Huawei Modem E303h inayotumia mtandao mmoja.
  3. Official Unlock firmware
HATUA

1.Fungua mfuniko wa modem yako na unakili IMEI namba za modem yako.



 

2.  Download huawei unlock code simple calculator


MB 2
Price=Free 
  Password= Software Support Tanzania 

3.  Download Huawei Firmware Network Unlocker
 Price=3500 Tsh
4.  Chomeka modem yako kwenye Kompyuta

5.  Funga dashboard ya modem baada ya kufunguka

6.  Fungua Huawei Unlock code calculator , kisha andika  IMEI namba, uzilizonakili, kisha bonyeza

       utapata NCK CODE na FLASH CODE



7. Nakili FLASH CODE ulizopewa kama unavyoona hapo juu.

8. Fungua  TIGO MODEM UNLOCK FIRMWARE  Uliyodownload



9.  Bonyeza START kisha weka FLASH CODE kwenye sehemu ya "password" weka  uliyonakili    awali kisha bonyeza OK.



10. Hakikisha umepata ujumbe huu Update Successfully.



11.Chomoa modem yako kisha ichomeke tena laini ya mtandao mwingine.



Mpaka hapo utakuwa umefanikisha ku-unlock modem yako na kuanza kuhitumia na mitandao mingine bila tatizo lolote.

Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.



MUHIMU
UNLOCK FIRMWARE tuliyoiweka hapo juu tumeiandaa kwaajiri ya modem zenye model hii
E303h E3531 E3533 tu. Hivyo ukijaribu kwenye modem tofauti na hizo Software Support Tanzania Hatutohusika kwa uharibifu wa kifaa chako

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau ku-share kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Asante kwa kutumia huduma zetu
Software Support Tanzania

NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...