Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUPATA CHANNEL ZAIDI YA 30 BURE KWENYE KING'AMUZI CHA STARTIMES


Habari…
Tumaini letu wote mnaendelea vizuri na leo tunafundisha ni jinsi gani unaweza kupata Channels zaidi ya 30 bure kwenye King'amuzi cha statimes.Leo tutanesha kwenye ving'amuzi vinavyotumia dish TU.

wenda ulikuwa hujui ila channel za bure zipo nyingi mno katika vingamuzi vya startimes vinachotumia dish leo nakupa siri hii bure kabisa.
fuata hatua zifatazo ili kufankisha zoezi ili..

MAHITAJI
King'amuzi cha statimes kinachotumia DISH
Remote ya King'amuzi husika

MUHIMU
Njia hii sio hacking wala kuchakachua king'amuzi wala wizi wa aina yoye ile.
Software Support Tanzania na Team yako hawatohusika kwa ualibifu wowote utakafanyika
Njia hii inafanya kazi kwenye vingamuzi vya startimes vinavyotumia dish TU , haihusiki kwenye vingamuzi vinavyotumia antena.

HATUA
1.chukua remote ya king'amuzi na bonyeza button ya menu
2.kisha chagua  kwenye neno DVBS Installation
3.kisha chagua single search
4.kisha search zitakuja channel kibao ambazo ni free on air

MUHIMU ZAIDI
Njia hii imejaribiwa na kafanya kazi kwenye vingamuzi vya startimes vinavyotumia dish TU , haihusiki kwenye vingamuzi vinavyotumia antena.
Njia hii haitokufanya kutuma king'amuzi bila malipo hivyo this is not hacking its just tricks
Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Softwaresupporttanzania
Email: softwarestanzania@gmail.com
BLOG: http://softwaresupporttz.blogspot.com/
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..

1 comment

  1. Asante sana kwa elimu nzuri hakikawewe ni mtalamu Ntailink na blog yangu ya Nimeipenda blog ya softiware support Tz  kwakua nimeipenda hii kitu
NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...