Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUFANYA COMPUTER IKUKARIBISHE KWA KUTAJA JINA LAKO MARA TU UNAPOIWASHA




Habari...

Tumaini letu wote mnaendelea viruzi na leo tutafundisha ni namna gani unaweza kuifanya computer ikukaribishe kwa kutaja jina lako mara tu unapokuwa umeiwasha
Fuata hatua zifuatazo ili kufanikisha zoezi hili

HATUA
1. Bonyeza Windows button na R kwa pamoja ( window + R ) na baada ya hapo andika neno notepad kisha bonyeza ENTER
2. Ikifunguka notepad, copy hizi code kama zilivyo na paste kwenye notepad

Dim speaks, speech
speaks=”Welcome to your PC,Username”
Set speech=CreateObject(“sapi.spvoice”)
speech.Speak speaks


kwenye hilo neno USERNAME andika jina lako
3. Kisha nenda sehemu imeandikwa FILE chagua save as.
4. Kisha save jina la FILE hilo kwa jina hili WELCOME.vbs baaada ya hapo kwenye “save as type”weka All file
5. Nenda uliposave hilo file na ulicopy. kisha nenda kwenye my computer then Local disk C:\documents and setting\All users\start menu\programs\startup (hii ni kwa wale wanaotumia windows XP) na paste hilo file hapo
Ø nenda Local disk C:\users(user-Name)\App Data\Roaming\Microsoft\Windows\start menu\programs\startup
(hii ni ni kwa wanaotumia windows 7, na 8, 8.1) na paste hilo file hapo

Ø hapo kwenye USER-NAME chagua jina la USER yaani jina lako uliloliweka wakati unaweka windows, utalikuta hapo limeandikwa pia utakuta na public achana na public.

6. Nenda kwenye My Computer =>control pannel =>sound and devices=>sound=>sound scheme” chagua “no sound” kisha apply na ubonyez OK

7. hapo utakuwa umemaliza restart computer yako

MUHIMU
Ø kumbuka kama unatumia windows 7 AppData hautaiona kwahiyo bonyeza button ya window kwenyesehemu ya  search na uandike hidden folder na uchague show hidden folders baada ya hapo utafata hatua zote za juu kama zilivyo
Fuatilia hatua zote kwa umakini.

Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.



Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..




NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...