Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUTENGENEZA APPLICATION ZA ANDROID




Habari…
Tumaini langu wote mnaendelea vizuri.Tumepokea maombi mengi kutoka kwa watu wanaofalitia masomo yetu ya online class. Na leo tutafundisha jinsi ya kutengeneza android application na namna utakavyoweza kuiweka Playstore.
Leo tutanza na BLOG APP.



#UTANGULIZI.
         I.            Somo hili litakuwa na sehemu nne(Four parts) kwa watu wanaofalitia kupitia page yetu.
       II.            Somo hili litakuwa na sehemu nane( eight parts) kwa wanaofalitilia kupitia whatsaps group.
     III.            Somo hili lina VIDEO ya maelekezo mwanzo mwisho inayofundisha kwa lugha ya Kiswahili.
    IV.            VIDEO hizo zimeandaliwa kwa ubora wa hali ya juu na niyakueleweka.
      V.            VIDEO hizo zinapatikana kwa gharama ya  @Tsh5000/=
·         Leo tutaanza kufundisha jinsi ya kutengeneza BLOG App.

BLOG App Hii ni Application inayomuweza mfalitiaji wa blog yako kuweza kupata mambo yote yaliyojili kwenye blog yako na kupata updates zote mpya. Mfano wa Blog App kama Millard Ayo App,Mzalendo App,Mwanchi App, Software Support Tanzania  App n.k.Leo tutatumia ya Millard ayo kama ya mfano,mbeleni tutajifunza ya kila mtu ilimradi tu uwe na blog.
#MUHIMU.
         I.            Ili kuweza kutengeneza Application yoyote ya Android unapaswa kujua Programming language, official programming language zinazotumika na ma-developer kwenye kutengeneza android App ni Extensible Markup Language XML,JAVA na C+++.
       II.            Kama unaitaji kujifunza programming language kupitia simu yako tumia App zifatazo.
Unachoitaji ni Simu yako ya android na App inayoitwa C4droid.
     III.            kwa kutumia app hii unaweza kuprogramme GUI apps kwa kutumia libs za Qt na SDL.(Kwa wale ma-programmer hapo mmenielewa vizuri)
    IV.            pia unaweza kuprogramme CLI app. hii Inasupport c++11.
      V.            Pia unaweza kutumia app ya cppdroid.
    VI.            SIO lazima uwe na laptop au desktop kujifunza japo ni muhimu Zaidi kwa PC kuokoa muda.
 
#MAHITAJI
         I.            Mahitaji kwa upande wa Computer
       II.            Computer yenye 2GB of RAM.
     III.            5GB free space kwenye local disk C.
    IV.            32bit or 64bit of Operating System na shauri 64bit ndio nzuri Zaidi.
Kwa upande wa software
         I.            Download Software inatoitwa Android studio latest . Hii ni best software inayotumika na ma-developer wengi duniani kutengenezea Application za simu za android pia ata kuiweka playstore., program hii utumika kama IDE’s (integrated development environment’s).
·         Kuweka Application playstore.
·         Kuondoa App lecense kwenye App yoyote (ku-crack app).
·         Kui-rebuild App code and contents. Mfano App ya whatsapp inasehemu kuu tatu kabda ya update's.
CALLS-unaweza kuedit hili neno call ukaweka lolote lile.
STATUS-Unaweza kuedit hili neno status ukawekaa lolote.
#CONTACTS-Unaweza kuedit hili neno naukaweka lolote.

Unaweza kuiba code za App na ukaziongezea pamoja na zako na feature’s za ndani (sifundishi uibe HAPANA BALI nisifa ya hii SOFTWARE). mfano.

APP_NAME ni WHATSAPP-unaweza kuedit hili neno ukaweka lolote mfano ICT whatsapp.
Baaada ya hapo unaweza kufanya full App-rebuild ukaisave na ukai-publish playstore kupitia android studio 2.0.1 isipokuwa tu majina yasifane na App original playstore (yakifanan autoweza kuiweka playstore).
Ndiyo mana hivi sasa kuna Application zaidi ya 12 za whatsapp tofauti tofauti kwenye playstore hii yote utokana na maelekezo ya hapo juu.
 Lipia kiasi cha Tsh 5,000/= kisha bonyeza link ya ku-Download Software ya Android studio hapo chini 
Android studio latest 
Download Link Android studio latest 
       II.            Download Software inayoitwa JAVA .
Hii ni programming language software ambayo ilitengenezwa naJames Gosling mwaka 1991 inayotunika katika utengenezaji wa Application za android(Software hii ufanya kazi ya kuiruhusu android studio kufanya kazi kwenye computer yako).
Usije ukachanganya kwenye ku-download.
#MUHIMU
1.        Java Enterprise Edition (JAVA EE).hii ni aina ya java isipokuwa utumika kwenye utengenezaji wa network za computer zenye mifumo mikubwa sana au ya juu.(Ma-network engineering nazani hapo mmenielewa vizuri).
2.        Java Micro Edition(JAVA ME).Hii ni aina ya java software inayotumika kutengenezea android operating system.(hii inatumika nawakina Nick sears au google kiujumla kwenye kwenye ku-develop android OS ).
3.       Java Development Kit (JDK).Hii ni aina ya java software inayotumika kwenye kutengeneza Application za android.(ma-programming engineering tunaelewana sana hapa)
Hivyo kwa vile sisi tunatengeneza android App tutatumia hii ya tatu JDK
Download hapa JAVA FOR ANDROID APP DEVELOP .
Mpaka hapo utakuwa umemaliza sehemu ya kwanza ya somo ili. Usikose sehemu ya pili,3,4.

Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..

1 comment

  1. We Thank you for your Good Comments... For more new updats you can download our Application on google playstore.
NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...