Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KURUDISHA VITU VYAKO VILIVYOFUTIKA KAMA VIDEO, PICTURE, DOCUMENT, SOFTWARES NA AUDIO.












Habari..
Tumaini letu wote mnaendelea vizuri na leo tunafundisha ni jinsi gani unaweza kurudisha vitu vyako vilivyofutika au kufomatika kwenye Computer yako kwa kutumia “EaseUS Data Recovery Wizard”

Zifuatazo ni hatua za kufata ila kufanikisha zoezi hili.

HATUA ZA JINSI YA KUISTALL SOFTWARE HII

1. Download Data Recovery Wizard Na file utakalodownload litakua na jina hili "drw_trial.exe".

Sasa double kwenye file ulilodownload kuanza installation ya software hiyo Na utaona maneno haya kama kwenye picha chini inavyoonesha

'Welcome' dialog that asks if you would like to continue. Kisha bonyeza "Next".

2. Bonyeza NEXT hii ni kwa window zote Pindi utakapoona Select Additional Tasks panel chagua kwenye neno "Create a desktop icon" na umalize installation yako.

Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.



Baada ya hapo program yako utakua umeshainstall kwenye Computer yako na tayari kwa matumizi. Sasa unaweza kuanza kurudisha mafile yako yaliyofitika, fomatika, na kukorapti

HATUA JINSI YA KURUDISHA VITU VYAKO VILIVYOFUTIKA

Hatua ya 1.

Bonyeza kwenye desktop icon ya "EaseUS Data Recovery Wizard" na utaona window below. Chagua sehemu au location ya Local disk storage yako ambayo data zimefutika, kufomatika au kukorapti na bonyeza kwenye neno "Scan".

Kama kwenye picha hapo chini inavyoonesha


Hatua ya 2.
Kama unavyoona kwenye picha hapo chini.


EaseUS Data Recovery Wizard itaanza kuscan localdisk yako. Baada ya kumaliza kuscan, na utaona neno “deep scan will automatically launch in order to find more files by deeply searching into the file index, while it will take more time.” Hapo itatafuta vitu vyako vilivyofutika kwa undani

Kama unavyoona kwenye picha hapo chini.




Hatua ya 3.

Kama unavyoona kwenye picha hapo chini.


Baada ya Software kumaliza kuscan kwenye localdisk ulioyochagua, Software hii itakuonesha mafile yako yote yaliyokua yamepotea (picha, audio, videos, documents, softwares ) na utachagua file unalotaka kulirudisha kwa kuweka alama ya tiki kwa kila file unalotaka kulirudisha. Kisha, bonyeza kwenye neno "Recover" button kisha save mafile hayo ambayo yamerudishwa kwenye local disk nyingine na siyo ile iliyopoteza mafile hayo.

Kama kwenye picha inavyoonekana hapo chini.

Kama unavyoona , kurudisha ma file yaliyopotea kwa kutumia Data Recovery Wizard ni RAHISI sana na pia haihitaji ujuzi wa ketiknolojia..

MUHIMU

1. Download Data Recovery Wizard kupitia link hii

EuseUS RECOVERY link

2. Nunua Data Recovery Wizard serial key kupata uwezo wa kurudisha kila kitu chako kilichopotea. Kupitia link hii

MALIPO

Unaweza kufanya malipo kupitia MPESA, AIRTEL MONEY, TIGO PESA kwa namba moja kati ya zifuatazo

0715-505 017 Jina YUSUPH FAKHI
0657-672 808 Jina ANANIA JULIUS

Download App Yetu hapa Chini


USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.










NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...