Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KUONGEZA INTERNET SPEED YA COMPUTER




Habari…

Tumaini letu wote mnaendelea vizuri na leo tunafundisha ni jinsi gani unaweza kuongeza speed ya internet kwenye kompyuta yako
Zifuatazo ni hatua za kufata ila kufanikisha zoezi hili.

HATUA ZA KUONGEZA SPEED YA INTERNRT

Jifunze hatua saba rahisi kabisa za kuongeza speed ya internet maradufu kwenye kopyuta yako. Mara tu baada ya kumaliza utaona mabadiliko makubwa kwani speed ya Interneet itakuwa kubwa zaidi na kukuwezesha kufanya kazi kwa raha zaidi.

Hatua ya 1.
Bonyeza button ya window + R kwa pamoja.
Kama picha inavyoonesha hapo chini

Hatua ya 2.
Kwenye kibox kitakacho kuja utaandika ili neno gpedit.msc kisha bonyeza Enter
Kama kwenye picha hapo chini inavyoonekana

Hatua ya 3.
Bonyeza mara mbili (double right click) kwenye neno lililo andikwa hivi  Computer configuration
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

Hatua ya 4.
Bonyeza mara mbili (double right click) kwenye neno lililo andikwa hivi Administrative Templetes
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.

Hatua ya 5.

 Bonyeza mara mbili (double right click) kwenye neno lililo andikwa hivi Network
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
           
Hatua ya 6.

Bonyeza mara mbili (double right click) kwenye neno lililo andikwa hivi QoS Packet Schedule
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

Hatua ya 7.

Bonyeza mara mbili (double right click) kwenye neno lililo andikwa hivi Limit reservable bandwith
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

Hatua ya 7.

Baada ya hapo nenda kwenye neno Enable na weka alama ya Dot hapo kisha nenda kwenye neno Bandwidth limit(%) na uandike 0 baada ya hapobonyeza Apply kisha maliza na kubonyeza OK
Kama inavyoonekana  kwenye picha hapo chini

Download App Yetu hapa Chini
http://www.mediafire.com/file/66js1vkjolpg68s/Software+Support+Tz.apk

USISAHAU KUSHARE MAKALA HII NA WENZIO.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..



NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...