Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Test link

JINSI YA KU-ACTIVATE WINDOW 7,8,10 BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE





Habari…
Tumaini langu wote mnaendelea vizuri,Leo tutafundisha ni namna gani unaweza kuifanya window yako ambayo siyo ya kununua kuwa activated nakuitumia kwa ufanisi mzuri kama window zingine.
MAHITAJI.
         I.            Njia hii haiitaji SOFTWARE ya aina yoyote isipokuwa
       II.            Computer au PC.
     III.            Ufahamu mdogo wakutumia kompyuta.(Computer Knowledge).
    IV.            Fata hatua zifuatazo kwa umakini ili ku-activate window yako kwa uraisi.
HATUA.
1.       Bonyeza Window +R kwa pamoja
2.       Kitakuja kibox Andika cmd kwenye hicho kibox kisha bonyeza button ya ENTER.
3.       Andika slmgr kisha press ENTER.
4.       Andika slmgr /ipk kisha press ENTER.
5.       Andika slmgr /ato kisha press ENTER.
6.       Subiri dakika 3 zipite kisha bonyeza OK kwa kila ujumbe watakao kupa.
7.       Andika exit kisha press ENTER.
8.       Mpaka hapo utakuwa umefanikisha ku-activate window yako na kutumika ipasavyo,Toa maoni yako kama utakuwa umefanikisha.

Imeandaliwa na SOFTWARE SUPPORT TANZANIA
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupitia
Facebook Page: Software support Tanzania
Instagram: Software_support_tanzania
CALLS: 0657672808
               0715575917
Don’t forget to subscribe our BLOG and Youtube channel Software support Tanzania
Usisahau kushare darasa hili na wenzako wa karibu
Thanks…..


NextGen Digital Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...